Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa
makavu live mastaa wenzie, Diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka
mama ubaya .
kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa filamu(wema) kufutarisha nyumbani
kwake na kumkaribisha harawa yake(Diamond) pamoja na mama mkwe
wake(haijulikani mkwewe kwa nani na kwa ndoa ipi) Bi Sanura kitendo
ambacho Mtunisi amekiona ni kinyume na dini yao hiyo ya kiislam.