MSANII CATHY:MASTAA KIKE KUJIUZA NAWALAUMU MASTAA WA KIUME

Admin Updates10 years ago6 Views

Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina
Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo
kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza.
Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo
Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika
au la, isipokuwa tatizo lipo kwa wasanii wa kiume wenye majina ambao
hukutana na mademu popote na kuwalazimisha wacheze filamu kutokana na
masilahi yao binafsi.
“Penye ukweli lazima tuongee maana sisi zamani haikuwa hivi, msanii anapikwa kambini ndiyo baadaye anapewa nafasi ya kuonekana,sasa siku hizi sivyo, mfano siku moja tulikuwa maeneo ya uwanja wa
ndege kuna mdada akapita ambaye kiukweli muonekano wake siyo kabisa, cha
ajabu kuna msanii wa kiume mkubwa tulikuwa naye akamshobokea na
kumlazimisha acheze filamu yake,” alisema Cathy pasipo kutaja jina la
msanii huyo.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.