MSANII DAVIDO AONGOZA WASANII KUMI WA NIGERIA KWENYE REKODI YA WALIOTAFUTWA ZAIDI KUPITIA GOOGLE SEARCH

Admin Updates10 years ago5 Views


davidoMwaka
unaisha, kwenye ule mfululizo wa rekodi mbalimbali za mwaka 2014 bado
kuna nyingine nyingi millardayo.com itakuwa ikikupatia.


Tumezisikia rekodi nyingi za nje ya Afrika, sasa hivi moja ya
jitihada ninazozifanya ni kukusanya zile rekodi za Afrika na kukuletea
mtu wangu.
Davido ni mkoja ya mastaa ambao tukiuzungumzia muziki wa Afrika
Magharibi, jina lake ni moja ya majina ambayo yameng’aa sana kwa mwaka
2014.
Mtandao wa Google umemtaja Davido kwamba ni staa namba moja kwa
wanamuziki wa Nigeria aliyetafutwa zaidi mwaka 2014 kwenye mtandao.
Kwenye list hiyo Phyno ameshika namba mbili na nafasi ya tatu kushikwa na the Marvin’s Queen, Tiwa Savage


Nimekuwekea List ya top ten hiyo hapa.
1. Davido
2. Phyno
3. Tiwa Savage
4. Don Jazzy
5. Timaya
6. Ice Prince
7. Olamide
8. Sean Tizzle
9. Lil’ Kesh
10. Burna Boy


Unadhani ikija Tanzania nani ataongoza kwenye list hiyo? 


Credit: Millardayo.Com

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.