HII GARI YA MSANII JAGUAR WA KENYA UMEIONA??TOA KOMENTI ZAKO TU MAANA NI YA AJABU…

Admin Updates10 years ago7 Views

Mwanamziki kutoka
Kenta Jaguar ambaye ni moja kati ya mastaa kenya wanaoingia kwenye list
ya mastaa tajiri sana licha ya kuwa na utajiri huo bado anafanya mziki.
Jaguar Range Rover Sport 2014
Kuna baadhi ya watu
wanasema kwamba ameanza kuwekeza ndani ya Afrika Kusini japo yeye
mwenyewe hajathibitisha kauli hiyo, Kingine ni kwamba kama utakuwa
mfuatiliaji mzuri wa habari zetu basi utakuwa unajua kuhusu yeye
kumilika gari aina ya Jaguar XJ series ambapo moja lenye thamani ya
shilingi Million 320 za kitanzania.

Miezi miwili iliyopita
alinunua gari aina ya Range Rover Sport 2014. ambapo kwa sasa ameweka
costomize plate kama ilivyo kwa msanii Diamond Platnumz hapa bongo
ushahidi huu hapa chini 


Jaguar Range Rover Sport 2014 


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...