Mwanamke Ana Upendo 98.8999% Kwa Mwanaume…Mwanamke Mpaka Kufikia Hali Ya
Kukubaliana Na Wewe Na Akakuheshimu Kwa Kukuvulia Kilakitu Alichonacho
Yeye Kwa Kukupa Kile Wewe Unachohitaji Kutoka Kwake Na Amekupa Heshima
Wewe Kama Mpenzi Wake Umtumie Unavyokata Na Kutokana Na Mapenzi
Anayokupa Anaamua Kukuamini Na Kukupa Siri Zake Zote Wewe Kama Wake
Mpenzi Na Mpaka Anawatambulisha Rafiki Zake Kuwa Wewe Ni Shemeji Yao Na
Hawezi Ambiwa Chochote Juu Yako Kibaya Akaacha Kukwambia, Then Leo Hii
Unamdharau “Aahgghr! Hana Lolote Huyo Kwanza Malaya Tu” …(Mbaya Sana
Hii, Jifunze Kuishi Kiutu Uzima Hata Kama Ana tofauti Usiwe Na Hofu
Kumweleza Na Ninaimani Atakuelewa)
Usimtese Kijinsia , Usije Thubutu Kumuacha Na Kasoro
Zake , Ninamaanisha Kwamba Kama Anatatizo Au Wakati Wa Mambo Yetu Yale
Kuna Kitu Unataka Ufanyiwe Na Yeye, Labda Yawezekana Hajui Au Anajua
Lakini Ana Walakini Kukifanya, Basi Ni Lazima Umweleze, Muweke Wazi
Kumbuka Huyo Ni Mpenzi Wako Ukiwa Kimya Ukasubiri Raha Ukapewe Na Kimada
Wa Nje Basi Utajikuta Siku Ya Mwisho Unaleta Ugonjwa Ndani Au Wewe
Kukusababishia Kukosa Nguvu Za Kiume Unapokutana Naye Mara Nyingi Kwa
Sababu Ni Chanzo Kingine Cha Kusababisha Kukosa Nguvu Unapotembea Na
Wanawake Wasiohesabika, Ukikutana Naye Mara Inalala Hii Ni Kutokana Na
Uchapaji Wa Too Much Nje, Kwa Sababu Unapokuwa Naye Huwezi Ku Feel Kuwa
Naye. Na Badala Yake Utaanza Kuwawaza Wengine Wa Nje Ambao
Hawatakusaidia Katika Kujenga Uhusiano Mwema Na Mpenzi Wako. (Kumbuka: Hata Ukibadilisha Kuni, Moto Ni Ule Ule)
Mwanamke Akikupenda Usimdharau Kama Yeye Ni Malaya… Na Mwanamke Mpaka
Ukiona Hajatulia Basi Jua Tatizo Lako Wewe, Fanya Juu Chini Ili Kuweza
Kumbadilisha Kwa Sababu Kumbadilisha Mwanamke Ni Kitu Kidogo Sana Kwa
Sababu Umekaa Naye Muda Mrefu Na Ni Lazima Utajua Tu Umguse Wapi Aweze
Kuwa Kama Mwanzo, Kama Umeshanifuatilia Kwa Mada Zangu Ninazokupa
Kupitia Hapa . Na Usijeomba Mwanamke Akulilie Machozi Mbele Zako,
Ameshindwa Kumlilia Baba/Mama Yake Aliyemzaa Na Amekuja Kukulia Wewe…
Wewe Una Nini? Epukana Na Hili Na Utunze Heshima Yake Na Umpe Penzi
Lako, Hakuna Mwanamke Mbaya/Malaya/Kicheche Ila Wewe Ndio Utafanya Awe
Hivyo… Wengi Wao Wameshawahi Kufanya Haya Na Sasa Wanalia Na Kusaga Meno
Kwa Sababu Walijisahau Na Mwishowe Sasa Hawajielewi Kutokana Na Maisha
Wayoishi Ya Kutokua Na Chaguzi Zilizo Za Halali…
Mwanamke Anapenda Kupendwa! Mara Nyingi Wanawake Ndiyo Hasa Huwa Na
Mapenzi Ya Dhati Zaidi Kuliko Wanaume. Mwanamke Anapoamua Kuwa Na Mpenzi
Wake, Humpenda Kwa Moyo Wake Wote, Hivyo Hupenda Kuwa Salama Katika
Penzi La Dhati Kwako.
Anapenda Uhuru, Anapenda Kujisikia Wazi Kwako Mahali Popote. Mwanamke
Anajisikia Vibaya Sana Anapokuwa Hana Uhuru Hata Wa Kukushika Mkono
Mnakuwa Barabarani Pamoja. Anapenda Penzi La Uwazi!
Maana Mwingine Utakuta Akikutana Na Rafiki Yake, Badala Ya Kumtambulisha
Vizuri Kama Mpenzi Wake, Anaanza Kupatwa Na Kigugumizi. Utamsikia
Akisema: “Ah! Huyu Ni Rafiki Yangu Bwana, Anaitwa Latipha….”Hili Ni
Kosa Kubwa Linalofanywa Na Wanaume Wengi Bila Kujua Ni Kosa.
Mwanamke Anakosa Amani Ya Moyo Kutokana Na Unavyomtafsirisha Mbele Ya
Rafiki Zako. Anahisi Hayupo Salama. Lazima Atajiuliza Maswali, Kwanini
Hataki Kunitambulisha? Kwanini Anashindwa Kusema Mimi Ni Mpenzi Wake?
Sifananii? Sina Mvuto Au Nina Tatizo Gani?
Hayo Yanaweza Kuwa Maswali Yatakayomuumiza Sana Kichwa Mpenzi Wako,
Ambaye Si Ajabu Akafanya Maamuzi Ambayo Hutayapenda. Kidonda Hiki Hubaki
Moyoni Mwa Mwanamke, Huwa Vigumu Sana Kuonyesha Wazi Kwamba Amechukia
Kutokana Na Uliyomfanyia, Lakini Atabaki Akiugulia Moyoni Mwake Kwa
Uchungu.
Hata Hivyo, Kinachokuja Akilini Mwake Ni Kutafuta Mwanaume
Mwingine Ambaye Atakuwa Wazi Kwake Ili Aweze Kufurahia Mapenzi Badala Ya
Kuendelea Kuumia Moyoni Mwake. Ni Dhahiri Kwamba Uamuzi Huu
Hautaufurahia Hakika.
1. UNAVYOJALI…
Mwanamke Anapenda Awe Wa Pekee Kwako, Umsikilize, Umjali Na Umpe
Kipaumbele Katika Kila Unachokifanya . Wanawake Wengi Wanapenda
Kudekezwa, Lakini Hawapendi Kuweka Hilo Wazi Kwa Mwanaume Wake. Kwa
Kumtazama Tu Utagundua Mpenzi Wako Anahitaji Nini Zaidi Kwako!
Wakati Mwingine Anaweza Kukupa Mitihani Ili Kupima Kiwango Cha Penzi
Lako. Anaweza Kukuambia Anaumwa Au Anauguliwa Na Mtu Wake Wa Karibu,
Lengo Ni Kuangalia Ni Jinsi Gani Unakuwa Makini Anapokuwa Na Matatizo.
Vile Utakavyochukulia Tatizo Lake Kwa Ukaribu, Uchungu Na Kuona Kama
Lako, Ndivyo Utakavyomfanya Aone Thamani La Penzi Lako Kwake, Ikiwa
Vinginevyo Basi Humuacha Na Machungu Moyoni, Huku Akijutia Kuwa Na
Mpenzi Wa Aina Yako.
Hii Ni Siri Ambayo Si Rahisi Mwanamke Wako Akueleze Moja Kwa Moja.
Atatumia Lugha Ya Ishara Kuonesha Jinsi Ambavyo Anahitaji Kuwa Wa Pekee
Kwako.
2. JIFUNZE SIRI HIZO…..
Hapa Ndipo Mwanaume Mwerevu Anatakiwa Kuwa Makini, Ni Lazima Ufahamu
Siri Zilizopo Moyoni Mwa Mpenzi Wako. Jifunze Kusoma Hisia Za Mpenzi
Wako Kwa Nje, Kabla Ya Kufanya Kitu, Fikiria Mara Mbili, Lakini Baada Ya
Kufanya, Msome Kupitia Uso Wake.
Analifurahia Au Umemchukiza? Ni Vizuri Kugundua Hilo Ili Uweze Kufunga
Hisia Za Kumfanya Aanze Kufikiria Kukusaliti. Hata Mnapokuwa Faragha Ni
Vizuri Kuwa Makini Na Kila Unachokifanya! Chunguza Kama Anafurahia Penzi
Lako Na Manjonjo Yote Unayomfanyia.
Kumbuka Kwamba Ni Vigumu Sana Mwanamke Kukueleza Moja Kwa Moja Kwamba
Hujamfurahisha Au Kuna Kitu Umekikosea, Hii Husababishwa Na Hofu Ya
Kuogopa Kukufanya Ujisikie Vibaya.
Kwa Maneno Mengi WEWE Mwanaume Ndiye Mwenye Kazi Ya Kuangalia Mwanamke
Wako Anapenda Nini Na Nini Hapendi Ili Uweze Kuwa MWANAUME Wake Bora,
Maana Hata Hisia Zake Za Ndani Utakuwa Unazifahamu. Ni Rahisi Sana, Soma
Kupitia Macho Yake Kila Unachomfanyia, Utaujua Ukweli. Unajua Hata
Ukimwita Kwa Jina Ambalo Hana Msisimko Nalo Lakini Ukiwa Unamtazama
Usoni Ni Rahisi Sana Kugundua Kitu Fulani, Kama Hajakipenda Utaona
Kwenye Macho Na Akikipenda Pia Utaona.
Unapokuwa Naye Faragha, Tumia Uwezo Wako Wote, Lakini Kumbuka Kwamba Si
Kila Utakachokifanya Utamfurahisha. Hii Inamaanisha Kwamba, Baada Ya
Kumchunguza Jinsi Anavyosisimka, Utaweza Kugundua Wapi Kuna Msisimko
Zaidi Kuliko Sehemu Nyingine.
Hapo Sasa Unaweza Kuibuka MSHINDI Maana Utakuwa Umeziweka Siri Zake
Hadharani, Kwa Maneno Mengine Kama Yeye Aliona Siri, Basi Umeweza
Kuzigundua Na Angalau Umeanza Kuzifanyia Kazi. Nawapenda Sana Rafiki
Zangu, Ndio Maana Nawapeni Mambo Mazuri Na Yenye Sifa Ili Msiweze
Kusababisha Kitu Kinaitwa…”UMENITENDA/AMENITENDA” (KUTENDANA NI DHAMBI
KUBWA SANA) NIWATAKIE SIKU NJEMA..
WAZO LA LANGU LEO:
WANAWAKE: Napenda Kuwashauri Wanawake Wote Ambao Wapo
Katika Mahusiano Ya Kimapenzi Wajaribu Kuwa Wabunifu Katika Mapenzi, Mpe
Mpenzi Wako Mapenzi Yote Toka Moyoni Mwako. Usidanganywe Kuwa Mapenzi
Ni Mitishamba Hakuna Dawa Ya Mapenzi Kwa Mganga Ila Dawa Unayo Wewe
Mwenyewe Mridhishe Mpenzi Wako Kwa Kumpa Vitu Vipya Katika Mapenzi
Halafu Uone Je, Penzi Lako Kwa Mwenza Wako Utachangia Na Wenzako?!
WANAUME: Siku Zote Uwapo Katika Mapenzi Fahamu Kuwa
Unapaswa Kumridhisha Mpenzi Wako Katika Tendo Mfanye Ajisikie Raha Pindi
Muwapo Chumbani Inakubidi Uwe Mwanamke Wa Kileo Ujitahidi Kuwa Mbunifu
Katika Mapenzi Kwa Kujituma Pindi Mnapokuwa Chumbani Na Mpenzi Wako,
Jaribu Kushughulika Tumia Viungo Vyako Vya Mwili Katika Kuamsha Hisia Za
Mwandani Wako Kabla Ya Kuanza Nae Kufanya Mapenzi Ili Kuhakikisha
Mpenzi Wako Anapata Raha Na Inakuwa Ni Njia Nzuri Ya Wewe Kumfanya
Mpenzi Wako Ahisi Kuwa Wewe Ni Muhimu Kwake Kutokana Na Mahaba Unayompa.