ALI KIBA ANASEMAJE KUHUSU KUFANYA KOLABO NA WASANII WA AFRIKA? STORI IKO HAPA

Admin Updates10 years ago5 Views

Kuna time utakuwa unajiuliza maswali kuwa kuna umuhimu gani kwa  wasanii wa hapaTanzania kufanya kolabo na mastaa wa Afrika.
Sasa staa wa Bongo Fleva Ali Kiba amejibu swali lako na kusema;Katika
kutangaza muziki inasaidia kiasi fulani lakini sio sana, muziki unaweza
ukautangaza hata wewe mwenyewe, mimi binafsi muziki wangu nimeutangaza
mbali sidhani kama Afrika hainijui bali inanifahamu sema tu kiukweli
video zangu nilizokuwa nafanya hazikuwa katika quality nzuri huo ni
ukweli naujua kwa hiyo sasa hivi tuko vizuri katika kujipanga
nahakikisha kila kitu kitakuwa poa, hiyo inasaidia sana vile vile
kubadilisha muziki na kuutangaza muziki wako katika msanii yoyote
 ambaye umemchukua labda wa Congo, Nigeria, Uganda, sehemu nyingine
nyingi  ili watu waweza kukusikiliza kwa urahisi na vile vile  ni
support kubwa inaonesha jinsi gani una ushirikiano na watu wengine
-Alisema.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.