AUNTY EZEKIEL ANENA MAZITO TENA BIFU LA KAJALA NA WEMA SEPETU..MSIKIE HAPA

Admin Updates10 years ago4 Views



STAA anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel
amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema
Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Wema na Kajala enzi wakiwa bado mashosti.
Akizungumza na gazeti hili, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa
yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa
na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani
waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.

“Jamani maisha haya ni mafupi sana na tunatakiwa kujifunza kutoka kwa
wenzetu tuliokuwa nao lakini sasa hivi hawapo tena, natamani sana Wema
na Kajala wamalize tofauti zao  kwani ipo siku watakuja kujuta siku
ambayo mmoja wao atakapokuwa hayupo japo siwaombei ila hilo ndilo
tamanio langu kuwaona wakizungumza,” alisema Aunt.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.