WEMA SEPETU NA AUNT EZEKEL NI KWELI WANA BIFU?

Admin Updates10 years ago8 Views

Siku
chache zilizopita Ant Ezekiel alifanya Baby shower kwa ajili ya mtoto
atakaezaliwa, party ambayo ilihudhuriwa na mastaa kadhaa wa Bongo
isipokuwa rafiki yake Wema Sepetu kitu ambacho kimetafsiriwa kuwa wana
matatizo marafiki hao wa karibu kwa muda mrefu sasa.
Stori hii
imeunganishwa na ile ishu ya Zari All White Party ambayo ilifanyika wiki
2 zilizopita ambapo Ant Ezekiel alipost ujumbe kwenye Instagram
ukiizungumzia show hiyo, kitu ambacho kinasemwa kuwa ilikua ni sawa na
kumsaliti Rafiki yake Wema Sepetu ambaye siku hiyo alikua Mwanza.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...