HII HAPA VIDEO YA COLLABO YA MAFIKIZOLO, DIAMOND NA MASTAA WENGINE AFRICA… ‘TELL EVERYBODY’

Admin Updates9 years ago6 Views

Good news mtu wangu, ile collabo ya kundi la Mafikizolo kutoka South Africa na mtu wetu Diamond Platnumz imetoka!

‘Tell Everybody’ ndio njia la wimbo, na ni wimbo ambao ni sehemu ya project ya Umoja wa Mataifa iitwayo UN Sustainable Development Goals (SDGs) yenye dhamira ya kupambana kutokomeza umasikini, kurekebisha tabia nchi na kuhamasisha usawa kufikia mwaka 2030.

Diamond Platnumz.

Wimbo huu umeshirikisha pia wasanii kutoka nchi nyingine za Kiafrika, wapo wakina Yemi Alade kutoka Nigeria, Sauti Sol kutoka Kenya, Toofan kutoka Togo, Becca na Sarkodie kutoka Ghana na Diamond Platnumz ndiye staa aliyewakilisha +255 Tanzania pamoja na Mafikizolo kutoka South Africa!

Kuna mchanganyiko pia wa lugha mbalimbali ikiwemo Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili na Kizulu… kizuri zaidi ni kwamba kila verse utakayoisikia kwenye wimbo huu basi ujue imeandikwa na msanii mwenyewe!

Hapa ninazo baadhi ya picha za wasanii walioshiriki kufanikisha hii project mtu wangu…

Becca Kutoka Ghana

Diamond Platnumz, Tanzania. 



Mafikizolo na wasanii wengine.

Diamond Platnumz na wasanii wengine.

Mafikizolo, South Africa.

Nhlanhla Nciza wa Mafikizolo.

Theo wa Mafikizolo.

Yemi Alade, Nigeria.

Kama bado hujabahatika kukutana na video ya ‘Tell Everybody’ karibu uitazame hapa chini mtu wangu… 
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.