Mimi ni mzuri kuliko Shilole – Model wa video ya Jike Shupa

9 years ago119 Views

Nuh-1Infact model huyo anaitwa Zena na ikumbukwe kuwa jina halisi la Shishi ni Zuwena Mohamed!
Ni kama vile wawili hawa walipotezana siku ya kuzaliwa.

Anyway turejee kwenye pointi ya msingi. Unakumbuka Shilole aliwahi kudai kuwa yeye ndiye muimbaji wa kike mrembo kuliko wote Bongo? Zena aka Jike Shupa hakubaliani na hilo.

“Kwakweli mimi namuona wa kawaida tu,” Zena aliiambia Clouds E. “Akumbuke na mimi mzuri kuliko yeye,” aliongeza kwa madaha.

Tangu video ya wimbo huo itoke, uadui kati ya Nuh Mziwanda na Shilole umeongezeka maradufu. Nuh ameitumia video ya wimbo huo aliomshirikisha Alikiba kuonesha jinsi uhusiano wake na Shishi ulivyokuwa na matatizo ikiwemo kupigwa mara kwa mara na Shishi hajapenda!

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.