Penzi la Jack Wolper na Harmonize Chali…Harmonize Apata Mzungu Mwenye Pesa Chafu

Admin Updates8 years ago9 Views

Za kunyapia nyapia zinadai kwamba hakuna tena mapenzi baina ya mastaa @harmonize_tz  na mwanadada @wolperstylish. 

Shilawadu wanadai kwamba Harmonize kwasasa ana toka na mrembo flani hivi wa kizungu na tayari mrembo huyo ni mjamzito na inasemekana kibendi hicho ni cha Harmonize.

Soudy Brown amewatafuta wawili hao bila mafanikio na kuamua kumvutia waya meneja waHarmonize, Babu Tale. ili aweze kutupa angalau ukweli juu ya suala hilo..lakini Babu Tale akasema hayo hayamuhusu yeye ana manage muziki wa Harmonize na sio mapenzi.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...