Mtendaji Mkuu TARURA Aridhishwa na Kasi ya Ujenzi wa Barabara za Mradi wa RISE Iringa

Admin Updates1 year ago6 Views

 Iringa,

Mtendaji Mkuu wa Wakala  ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara za Mtili- Ifwahi na Wenda- Mgama zinazotekelezwa na Mkandarasi China Henan International Cooperation (CHICO) ambapo awali alianza kazi kwa kusua sua.

Akiwa katika kikao cha pamoja na Mkandarasi, Mhandisi Seff alimtaka Mkandarasi CHICO kuongeza kasi zaidi ili kumaliza kazi kwa muda uliopangwa katika Mkataba na Wananchi  watumie barabara hizo ili kujiletea maendeleo na kukuza uchumi wa nchi .

Hata hivyo, akiwa katika Halmshauri ya Mufindi, Mhandisi Seff alitembelea ujenzi wa barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegeya inayojengwa kwa kiwango cha lami  kwa kutumia teknolojia mbadala ya ujenzi wa barabara inayoitwa ECO Roads.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.