Iringa,
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara za Mtili- Ifwahi na Wenda- Mgama zinazotekelezwa na Mkandarasi China Henan International Cooperation (CHICO) ambapo awali alianza kazi kwa kusua sua.
Akiwa katika kikao cha pamoja na Mkandarasi, Mhandisi Seff alimtaka Mkandarasi CHICO kuongeza kasi zaidi ili kumaliza kazi kwa muda uliopangwa katika Mkataba na Wananchi watumie barabara hizo ili kujiletea maendeleo na kukuza uchumi wa nchi .
Hata hivyo, akiwa katika Halmshauri ya Mufindi, Mhandisi Seff alitembelea ujenzi wa barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegeya inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa kutumia teknolojia mbadala ya ujenzi wa barabara inayoitwa ECO Roads.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










