Jionee Baadhi ya Kazi zilizofanywa na TARURA chini ya Mtendaji mkuu Mhandisi Victor Seff

Admin Updates11 months ago6 Views

  

Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Barabara za Minini na Vijiji ni (
TARURA) Mhandisi Victor Seff amesema Wakala Hiyo
inaendelea na kazi za matengenezo na ufunguaji wa Barabara Mpya kadri
inavyoweza kwani ni moja ya Malengo yake kwa mwaka huu wa Fedha wa 2024/2025
kama ilivyokuwa mwaka jana wa fedha wa 2023/2024 na miaka ya nyuma .

Aidha Mhandisi Seff amesema kazi za ujaenzi zinaendelea Mikoa mbalimbali kazi zinaendelea ikiwa ni moja ya utekelezaji wa Maelekezo ya Serikali ya awamu ya Sita Chini ya Mhe Rais Dkt. Samia Sauluhu Hassan ya kuhakikisha wananchi wanaboreshewa miundombinu ili waweze kujikwamua kiuchumi kwa kuongeza kasi ya maendeleo.


Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.