Mhe. Chongolo ameambata na Kamati ya Usalama ya Mkoa Pamoja na Sekretarieti ya Mkoa na ametembelea Mradi wa Barabara ya ilolo- ndelezi wenye thamani ya zaid ya shingi bilion sita Kikundi cha bodaboda pamoja kukagua Hafua za lishe
Mhe. Chongolo ameambatana na Kamati ya Usalama ya Mkoa Pamoja na Sekretarieti ya Mkoa na ametembelea Mradi wa maji unao tekelezwa na Ruwasa pamoja na Distribution Point za Maji (Dp) katika kijiji cha chimbuya kata ya Ukwile, Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa jengo la Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Old Vwawa.