SONGWE Mambo ni Motooo..Jionee hapa Miradi Kede Kede ankagua RC Chongolo

1 year ago150 Views

  

Mhe. Chongolo ameambata na Kamati ya Usalama ya Mkoa Pamoja na Sekretarieti ya Mkoa na ametembelea Mradi wa Barabara ya ilolo- ndelezi wenye thamani ya zaid ya shingi bilion sita Kikundi cha bodaboda pamoja kukagua Hafua za lishe

Mhe. Chongolo ameambatana na Kamati ya Usalama ya Mkoa Pamoja na Sekretarieti ya Mkoa na ametembelea Mradi wa maji unao tekelezwa na Ruwasa pamoja na Distribution Point za Maji (Dp) katika kijiji cha chimbuya kata ya Ukwile, Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa jengo la Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Old Vwawa.


Mhe. Chongolo ameambata na Kamati ya Usalama ya Mkoa Pamoja na Sekretarieti ya Mkoa na ametembelea Mradi wa Barabara ya ilolo- ndolezi wenye thamani ya zaid ya shingi bilion sita,Kikundi cha bodaboda pamoja kukagua Hafua za lishe

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.