SOMA HAPA:Waziri Jerry Silaa awasili jijini arusha,Kuzungumza na vijana wa aina hii

Admin Updates2 months ago6 Views

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo tarehe 12 Machi, 2025 kabla ya kuanza ziara ya siku mbili mkoani humo. 

Waziri Silaa alipokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda,  na kumjulisha kuwa yuko mkoani humo kwa ajili ya kutembelea na kuzungumza na vijana wa bunifu changa za TEHAMA (Startups).

Naye Mhe. Makonda amemkaribisha Waziri Silaa na kumpongeza kwa kazi kubwa inayofanywa na wizara hususan katika eneo la mawasiliano hasa uwekaji wa minara. 
Ameongeza kuwa, ofisi yake iko tayari wakati wote kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na kwamba kuimarisha Mawasiliano kutaondosha migogoro mbalimbali katika Mkoa huo.
 #Arusha #Startups #SmartTanzania

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.