Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars Hemed Morroco asubuhi ya Ijumaa ya tarehe 14 mwezi wa 03 mwaka 2025 ametoa orodha ya majina ya wachezaji ambao wataingia kambini kwa ajili ya kuiwakilisha timu ya taifa ya Tanzania kwenye mchezo dhidi ya taifa la Morocco kwa ajili kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2026 ambalo litachezewa nchini Marekani.

Kocha Hemed Morroco ambaye amefanikiwa tayari kuisaidia timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kufuzu kucheza michuano ijayo ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON kwa sasa yupo kwenye hatua za kuijenga timu ya taifa ya Tanzania ili kuwa na timu imara ya taifa ambayo itaweza kupambana kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2026.
Wachezaji ambao wameitwa kwenye timu ya taifa ya Tanzania wengi wametoka kwenye timu za Simba Sc pamoja na timu ya Yanga Sc huku mlinzi wa kulia wa timu ya Simba Sc akirejea kwenye timu ya taifa ya Tanzania tena baada ya kuachwa mara kwa mara kwenye timu hiyo, huku mshambuliaji wa timu ya taifa na nahodha Mbwana Samatta akiwa ameachwa nje ya kikosi kwa sababu ya majeruhi.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







