Mpigie Kura ya Ndio Mawata Juma Matukuta katika kipengele cha Mhandisi Bora Mwanamke anayechipukia (Young Women Engineer of the Year) Nchini Tanzania.
Mawata ni mfano halisi wa ubunifu, bidii na mchango chanya katika sekta ya uhandisi nchini. Tuzo hii ni heshima kubwa kwa kazi kubwa anayoifanya na chachu kwa wasichana wengi wanaochipukia kwenye sekta hii.
Ushindi wake unategemea kura yako! Tukae pamoja kumuunga mkono mwanamke huyu shupavu ili alete ushindi nyumbani.
🗳️ Jinsi ya Kupiga Kura:
- Bonyeza link hii: BONYEZA HAPA KUMPIGIA KURA MHANDISI MAWATA
- Chagua jina:Mawata Juma Matukuta kwa kubonyeza NEXT hadi ulikute
- Bonyeza VOTE / PIGA KURA kwa kutiki mwanzo katika kibox kwenye jina lake
Tafadhali weka kura yako na ushare ujumbe huu kwa wengine! 🇹🇿✨
#WomenInEngineering #YoungEngineerOfTheYear #TanzaniaEngineers #SupportWomen
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






