Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo tarehe 12 Machi, 2025 kabla ya kuanza ziara ya siku mbili mkoani humo.
Waziri Silaa alipokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda, na kumjulisha kuwa yuko mkoani humo kwa ajili ya kutembelea na kuzungumza na vijana wa bunifu changa za TEHAMA (Startups).
Naye Mhe. Makonda amemkaribisha Waziri Silaa na kumpongeza kwa kazi kubwa inayofanywa na wizara hususan katika eneo la mawasiliano hasa uwekaji wa minara.
Ameongeza kuwa, ofisi yake iko tayari wakati wote kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na kwamba kuimarisha Mawasiliano kutaondosha migogoro mbalimbali katika Mkoa huo.
#Arusha #Startups #SmartTanzania
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








