Yanga: Ndoto ya Manji inakwenda kutimia hivi karibuni

Admin Updates11 months ago6 Views

 Yanga: Ndoto ya Manji inakwenda kutimia hivi karibuni

Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga Afrika, Ali Kamwe amesema kuwa ndoto ya mfadhili na Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Yusufu ManJi inakwenda kutimia siku si nyingi.

Amesema Manji alikuwa na ndoto ya kuona Yanga inatwaa ubingwa wa Afrikana kwamba timu hiyo inaendelea kujipanga kutimiza ndoto hiyo. Manji alifariki dunia hivi laribuni nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.

Kufuatia kifo hicho, Kamwe ametoa salamu za pole kwa mashabiki wote nawapenzi wa Yanga na kumwombea mapumziko mema huko alikotangulia.

“Kwa níaba ya viongozi wa Young Africans, kamati ya utendaji yote, sekretarieti, wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga tumepokea kwa mshtuko sana taarifa ya msiba huus. Sisi Yanga tutaendelea kumwenzi ManJi na tunaomba Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi,” amesema Kamwe.

Kamwe amesema hayo leo Julai 1, 2024 katika Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, Jangwani Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kusherehekea ujio wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama ambaye Jana alimaliza mkataba wakena Klabu ya Simba na leo ametangazwa rasmi kwa ni ‘Mwananch

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.