Waziri Angellah Kairukli acharuka Sakata la Vichanga Mapacha ”Kutolewa Macho” Wawili Wasimamishwa Kazi Tabora

Admin Updates2 years ago6 Views

 

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Mhe.Angellah J. Kairuki amesema amepokea kwa masikitiko makubwa malalamiko ya mzazi Kisaka Mtoisenga Mkazi wa Ushikola wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Tabora, kufuatia Watoto wake mapacha waliozaliwa katika Kituo cha Afya Kaliua na baada ya muda mfupi kufariki na kukutana na dosari (wameng’olewa macho, kukatwa ulimi na kuchunwa ngozi kwenye paji la uso) baada ya Wazazi kukabidhiwa miili yao mnamo tarehe 10 Mei, 2023.
Kufuatia taarifa hiyo, OR – TAMISEMI kupitia Halmashauri ya Wilaya ya
Kaliua imewasimamisha kazi Wauguzi wawili wa Kituo cha Afya Kaliua ili kupisha uchunguzi na imekabishi kwa Jeshi la Polisi suala hili ili waendelee na chunguzi wa tukio hili.
Waziri wa OR- TAMISEMI Mhe.Angellah Kairuki amendelea kuwakumbusha Wataalam katika Vituo vya kutolea huduma za Afya chini kote kuzingatia miongozo na taratibu za Kitaaluma zilizowekwa na Serikali wakati woe wanapohudumia Wananchi.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.