Watu Waliohusika na Mauji ya Mtoto Asimwe Wakamatwa

Admin Updates11 months ago4 Views

 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema kuwa tayari Jeshi la Polisi limewakamata watu wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2).
Mei 30, 2024 Asimwe anadaiwa alichukuliwa na wattu wasiojulikana nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera na juhudi za kumtafuta hazikuxzaa matunda hadi hapo Juni 17, 2024 mwili wake ulipopatikana ukiwa katika mfuko wa sandarusi huku baadhi ya viungo vikiwa vimenyofolewa.
Waziri Masauni amesema watuhumiwa hao wamekamatwa wakiwa na vithibiti vya kutendea kosa hilo na kufafanua kuwa hawajabahatisha katika kuwakamaa watu hao.
“Hakuna hata mmoja ambaye amehusika na mauaji ya binti huyu malaika wa Mungu atakayrepona, tumefikia pazuri na kitakachofanyika itakuwa fundisho kwa wahalifu wengine,, tupo vizuri katika kukabiliana na uhalifu na ndiyo maana hakuna mtu atakayefanya uhfifu asipatikane,” amesema Masau

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.