WASANII MAUA SAMA NA CHEGE WASEPA NA KIJIJI UMISETA MTWARA….SHUHUDIA HAPA

4 years ago171 Views

Michezo ya UMISSETA 2021 Imezinduliwa rasmi Mkoani Mtwara leo Juni 21 katika uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Caroline Nombo. Uzinduzi huo umesindikizwa na burudani mujarabu kutoka kwa wasanii Maua Sama na Chege Chigunda ambao walionekana kukonga nyoyo za mamia ya wafunzi waliofika uwanjani hapo!

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.