WAONE MAGWIJI WA KANDANDA WA FC BARCELONA WALIVYOTUA ZANZIBAR JANA

Admin Updates10 years ago4 Views

Rais wa
Heshima wa Timu ya Barcelona Kocha Johan Cruyff, akizungumza na
waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar alipofika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.

Kikosi
cha Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakiwa katika picha ya
pamoja baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
wakitokea Arusha , wakiwa Zanzibar kwa Mualiko wa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kutembelea
Zanzibar kujionea Vivutio vya Utalii na kujionea Vipaji vya Wachezaji
Vijana wanaocheza katika timu mbalimbali za Watoto.

Waandishi
wa habari za michezo Zanzibar wakiwa katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa kuipokea Timu ya Wachezaji wa Wazamani wa Timu ya Barcelona

Kikundi
cha ngoma wakitowa burudani wakati wa ujio wa Wachezaji wa zamani wa
timu ya Barcelona Zanzibar. kwa ziara ya siku moja Zanzibar. kwa mualiko
wa Rais wa Zanzibar Dk Shein.

Viongozi
wa Vyama vya Mpira Zanzibar wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wakiipokea timu ya Wachezaji wa zamani wa Barcelona walipowasili
Zanzibar.

Ndege
ya Serikali ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume ikiwa na Wachezaji wa Mastaa wa Zamani wa Barcelona wakiwasili
Zanzibar kwa ziara ya siku moja kwa mualiko wa Rais wa Zanzibar Dk Ali
Mohemed Shein, na kujionea Vipaji vya Wachezaji wa timu za Watoto katika
uwanja wa Amaan Zanzibar.

Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar Bi Shery Khamis akisalimiana na
mchezaji nyota wa timu ya wachezaji wa zamani wa Barcelona Patric Kluivert
alipowasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara
ya siku moja Zanzibar.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.