Waganga wa Kienyeji 65 Mbaroni Wakihusishwa na Mauaji ya Watoto

Special Correspondent6 years ago5 Views

Polisi inawashikilia Waganga wa Kienyeji 45 kutoka Mkoani Simiyu na 20 kutoka Mkoani Njombe waliotiliwa shaka katika operesheni inayoendelea ya kuwasaka waliohusika na mauaji ya watoto

Mkuu wa Jeshi hilo, IGP Simon Sirro amesema “Kuna Waganga ambao si wahalifu, lakini kuna wale Waganga ambao ni wahalifu hao tunadili nao moja kwa moja na tayari tumeshakamata Waganga 65”

Aidha, ameeleza sababu za kuwapo kwa matukio ya mauaji kuwa ni ramli chonganishi, ugomvi wa familia na wivu wa mapenzi na hivyo operesheni hiyo inaendelea kupita kwa kila Mganga ili kuwakagua

Mwezi Januari mwaka huu, kuliripotiwa matukio ya utekaji na mauaji dhidi ya watoto mkoani Njombe, huku wanaotekeleza ukatili huo wakidaiwa kunyofoa baadhi ya viungo kwenye miili ya watoto wanaowaua

from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2NFQdO3
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.