VIJANA WENGI BONGO WANA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Admin Updates10 years ago4 Views


TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR),imesema vijana
wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, wanaongoza kwa kutumia
dawa za kuongeza nguvu za kiume.



Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam
jana,Mkurugenzi wa NIMR,Dk.Mwele Malecela alisema kwa sasa tatizo hilo
ni kubwa ambalo linawakumba vijana wengi hususan barani Afrika.



Alisema hali hiyo,imesababisha vijana hao kutafuta dawa za
kuongeza nguvu za kiume aina ya Mundex,ili waweze kupunguza ukubwa wa
tatizo hilo.



“Vijana wengi wenye umri wa kuanzia miaka 30 na
kuendelea wana matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume, jambo ambalo
limewafanya kutafuta dawa za kuongeza nguvu ili waweze kuzitumia na
kupunguza ukubwa wa tatizo.



“Tangu tugundue dawa hii, idadi kubwa ya wanaokuja
kununua ni vijana hasa wenye umri wa miaka 30,hali ambayo inaonesha wazi
kuwa tatizo hili linakua kwa kasi,”
alisema Dk Mwele.


Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.