Licha ya kuachana, Vera Sidika na Otile Brown wameshindwa kuachana kiungwana kabisa .Hii ni baada ya Vera kuweka hadharani sms walizokuwa wakichati na Otile ambazo sio nzuri.
Vera kwenye screenshot hizo, kuna sehemu anamwambia Otile kuwa, yeye huwa haangalii ukubwa wa maumbile ya mwanaume bali anaangalia performance kitandani, kwani kuna watu wamejaliwa maumbile makubwa ila kitandani Zero.
Hata hivyo, Otile Brown kupitia majibizano hayo alimuuliza Vera kama amepata Bwana mwingine afute meseji zote alizomtumia, akilalamika kuhusu matatizo hayo, lakini Vera alikataa kufanya hivyo akidai kuwa hana mume.
Otile pia kwenye baadhi ya screenshot hizo, alimtaka Vera aache mchezo wa kujichua na angemfanyia vitu hivyo anavyovihitaji kwenye mapenzi.