UMEICHEKI HII FILAMU MPYA YA MANAIKI??CHEKI ILIVYOTIKISA NCHI, WASANII KIBAO WAHUSIKA!!!!!, WACHEKI HAPA

Admin Updates10 years ago3 Views

 
Mastaa mbalimbali kama wanavyoonekana wakiwa Location kwenye filamu
hiyo mpya ya msanii Manaiki Sanga the Don iitwayo Wake Up , Zaidi ya
wasanii 30 Mastaa wameshiriki kucheza 
 
Mzee Majuto akiwa kazini na wasanii wengine ndani ya Wake Up.

 

Mastaa nyota wa filamu nchini Irene Uwoya na Hemed Suleiman kama
wanavyoonekana wakiigiza filamu hiyo ya Wake Up huko Mkoani Morogoro
 
Jackline Wolper vs Irine Uwoya ambao wamechuana vikali ndani ya filamu hiyo ya Wake Up ya msanii Manaiki Sanga ” The Don”

 

Frola Mvungi na Mama Abdul wakiwa mzigoni kumalisha sehemu ya filamu
hiyo ya kwanza nchini Tanzania kuchezeswa mastaa zaidi ya 30 pamoja
haijawahi tokea
 
Wasanii Kajalia Masanja na mwenzake wakikamua ndani ya filamu ya Wake
Up, ambapo kulikuwa na upinzani mkali sana wakati wa kuigiza ili kila
mtu asionekane kucheza ndani ya kiwango.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.