THE BOSS LADY ”ZARI” AMTOLEA UVIVU @WEMA SEPETU NI BAADA YA KUMKEJELI KUHUSIANA NA UJAUZITO ALIO NAO SOMA I HAPA MATUSI KIBAOO

Admin Updates10 years ago5 Views


Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan  ameonekana
kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo
alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.


Zari Ajibu Kejeli za Wema Kuhusu Ujauzito Aliyopewa na Diamond!



Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao
hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya
Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae
alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli  yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye picha hapo juu.




Kitendo hicho kikamfanya mwanamama Zari kuamua kujibu wa maneno  “Astagafululah…..sometimes we have to wish people good ….this is too much”



Maneno ambayo yalionyesha ukomavu na busara ya hali ya juu alionayo mwanamama huyu kwenye maswala ya mahusiano na maisha.




Hivi jamani ukiacha na mpenzi wako hauwezi kumtakia mazuri kwenye maisha yake?

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.