Licha ya ukweli ni kwamba Wema na Idris wanaonekana kikazi zaidi,
yaani ulikuwa ni wito maarumu kutoka kwa wenye supermaket hiyo, watu
wengi wameolionekana kupakaza kuwa wawili hao ni Le Project mpya na
wengi wakimtupia maneno Wema kuwa hisaa amezidiii na wengine wakimlaumu
Idris kuwa ameingia chaka.
Kitendi hiki cha Wema kuzushiwa kuwa na mahusiano na watu ambao
anafanyanao kazi kimewakera sana Team Wema na kusababisha timbwili la
maneno mitandaoni.
“Imekua kama tabia ya watu ku comment (
yani ndo umeamua kua na wema) ( wema ndo unatoka na huyu) kwa kila mtu
anae fanya nae kazi.. Naomba kuwauliza inamana nyie hamuon kama hizo ni
kazi?? Mme shindwa tu kwa Millard Ayo na project ya the completePackage
kusema anatoka na wema . Watu wameshindwa kutofautisha kati ya X na +
ntaomba Diamond awasaidie kuwapa darasa ama ASEME NA NYIYI. Ama nene”.
Mmoja kati ya team Wema aliandika mtandaoni.