TBT: Kikwete na Mabingwa wa Siasa Baada ya Kikao cha NEC – Taswira ya Umakini na Maamuzi

Masama BlogSIASAKITAIFAMATUKIO40 minutes ago5 Views

Picha Hii ilipigwa 2014 ikimuonyesha Rais Mastaafu wa awamu ya 4 na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia Jambo na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) na Kamati Kuu ya CCM,Makamu Mwenyekiti Mzee Philip Mangula,Katibu Mkuu Mstaafu Ndg.Abdulrahman Kinana,Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndg.Ramadhani Madabida pamoja na MNEC na Mjumbe wa Kamati Kuu toka kundi la Vijana Ndg Jerry Silaa ambaye Sasa ni Mbunge wa Ukonga na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habar

FUNZO:

Kila jambo ikiwepo Uongozi au Mafanikio unatokana na kujifunza na Uvumilivu bila kumsahau kumtanguliza mwenyezi Mungu.

Leave a reply

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...