- Home
-
- Taifa la Saudi Arabia Litapindisha Sheria ya Ndoa Kisa Christiano Ronaldo na Mkewe
Taifa la Saudi Arabia Litapindisha Sheria ya Ndoa Kisa Christiano Ronaldo na Mkewe

Taifa la Saudi Arabia litapindisha sheria yake kali ya ndoa kisa nyota Cristiano Ronaldo ambapo imeelezwa kuwa ataruhusiwa kuishi pamoja na mpenzi wake, Georgina Rodriguez.
Sheria ya ndoa ya nchini Saudi Arabia inakataza vikali wapenzi wawili ambao bado hawajafunga ndoa, kuishi pamoja. CR7 amejiunga na Klabu ya Al Nassr ambayo inashiriki Ligi Kuu nchini humo.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News