1 year agoBreaking Newz: Afisa wa Polisi Akamatwa na Misokoto 40 ya Bangi..Jionee hapaAfisa mmoja wa Polisi nchini Kenya, Kobstabo Evans Otieno amesweka rumande katika Kaunti ya Makueni akidaiwa kushiriki maandamano, huku akiwa na misokoto 40 ya bangi yenye thamani ya Shilingi 2,000.Read More