Jambo moja linalonitatiza ni huu:-Mpenzi wangu anaongea na mama yake saana.kwa nini ninaudhika? kwa sababu anamwambia mambo yote ya kisiri ambayo bwana na bibi inafaa waongee. kwa mfano…last time tulivyogombana