Rais John Pombe Magufuli Aprili 29, 2017 aliwasili Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tatu.Alipofika Eneo la Bomang’ombe wilayani Hai,Wananchi walifunga Barabara Wakitaka Awasalimie