1 month agoMbadala wa Aucho Aigomea Yanga ….Soma Hapa Yanga wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao, baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji, James Akaminko kama mbadala mpya wa nyota wao, Khalid AuchoRead More