2 years agoMICHEZO: Utulivu wa Viongozi wa Yanga Mafanikio Kwa YangaYanga imekuwa na kikosi imara kwa msimu wote wa mashindano, wachezaji wamekuwa na viwango vyenye mwendelezo. Djigui Diarra, Dickson Job, Yannick Bangala, Khalid Aucho, Fiston Mayele wamekuwa uti wa mgongoRead More