Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua Rais John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Tanzania na Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu