Kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia pilika pilika za vyama vya siasa kuelekea October ambapo utafanyika uchaguzi mkuu, na kupata rais wa awamu ya tano. Kwa mtazamo wangu ukawa watashindwa vibaya