Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa. Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boatambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee. Kasi ya Diamond haijaishia hapo kwani sasa