9 months agoBREAKING: Serikali Yaondoa Sharti la Kusoma Law School kwa wanasheria,Soma zaidi hapa Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeondoa sharti la kila mhitimu wa shahada ya sheria kupita katika shule hiyo.Read More