Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MAKAMU wa rais ,Samia Suluhu Hassan,amewataka kuwafichua watumishi mbalimbali wa halmashauri na taasisi za serikali katika wilaya na mikoa wanaodhaniwa kufuja fedha za serikali na kupoteza mapato