WAONE KHADIJA KOPA, DIAMOND, MAKOMANDO, WALTER CHILAMBO WALIVYOFUNIKA KWENYE STAGE YA LOWASSA ARUSHA
Diamond Jana MAY 30 2015 Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ilikuwa siku ambayo Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza rasmi kwamba ataomba kibali cha CCM ili agombee Urais wa TZ