Leo tumekutana na ndugu yangu Mheshimiwa Samuel Sitta. Mimi na Sitta tumetoka mbali kikazi na kindugu. Tumefanya kazi pamoja bungeni, ndani ya CCM na serikalini kwa mafanikio makubwa. Namtakia heri