1 year agoHawa Hapa wagombea 58 walioteuliwa kugombea ubunge na udiwani Mbarali Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Bw.Missana Kwangura akibandika fomu za uteuzi za vyama kumi na tatu vilivyoteuliwa kugombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya.Read More