1 year agoHABARI PICHA:Ma RC Chongolo na Macha wakutana Bungeni Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Daniel Chongolo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Anamringi Macha wakifuatilia kwa makini mjadala wa bajeti ya serikali ya OR-TAMISEMI bungeni jijini DodomaRead More