Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Januari 21, 2025 kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa viongozi mbalimbali ndani ya chama hicho. Macho na masikio ya wengi ni katika nafasi ya Uenyekiti