Zoezi la kuhesabu kura za maoni katika Jimbo la Bunda Mjini umekamilika, ambapo Robert Chacha Maboto ameongoza kwa kupata kura 140, akifuatiwa na Stephen Wasira aliyepata kura 115.
———
Robart Maboto kura 140
Stephen Wasira kura 115
Zuru Nanji kura 63