STAA JACK WOLPER NAE AONYESHA WATU VITU VYAKE VYA DHAHABU

Admin Updates8 years ago4 Views


Malkia wa filamu Jacqueline Wolper amewaziba mdomo wanaomsema anavaa cheni fake za dhahabu.Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahaba mazito na Harmonize, amesema kwa sasa hataki kuonyesha vitu kama hivyo kwa kuwa wakati wake wakufanya hivyo ulishapita.“Stylish flevaaaa zone msioneane wivu nikiwa tajiri nitaweka kila mmoja sehemu yake wanangu sawa madinizii. Sema mimi mswahili sana najipenda navyowashuhulikia waswahili wenzangu kwa maneno yao yakutunga, msinifanye niwe naonyesha paka nachokula kila siku maana naweza pia,” aliandika Wopler Instagram.
Aliongeza, “Angalieni maisha yenu, kwahyo tusipofanya show off sio hatuna, vingine tunawaachia chipukizi jamani sahivi tunatakiwa tuonyeshe magorofa . Stay tune Mazafokoooziii delivere,”
Kwa sasa mwingizaji huyo amejikita zaidi kwenye biashara kuliko katika kuzalisha filamu.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.